• Latest News

  July 11, 2016

  Tammy: Kigogo alitaka niache muziki anioe

  Tamari Ally ‘Tammy The Baddest’

  STAA wa Hip Hop Bongo anayebamba na Ngoma ya Trumpet, Tamari Ally ‘Tammy The Baddest’ kwa mara ya kwanza amekiri kuwa kipindi anataka kutoka kimuziki kuna kigogo wa serikali (jina linahifadhiwa) alitaka kumuoa kwa sharti la kuachana na muziki kwanza.
  tammy (2)Akilonga na mtandao wa Global PublishersTammy anayejulikana pia kama Nicki Minaj wa Bongo alisema kutokana na kushindwa ‘kujimeneji’ kimuziki alimtafuta mtu wa kumuongoza ambapo aliangukia kwa kigogo huyo.
  tammy (2)
  “Nashukuru Mungu kwa sasa nipo katika uhusiano na mpenzi wangu (Mnigeria). Nimepitia mapito magumu sana, kabla ya hapo kuna kigogo alikuwa akitaka niachane na muziki anioe nikamkatalia na kuachana naye kwani niliona anakatisha ndoto zangu,” alisema Tammy.

  CHANZO:GPL
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Tammy: Kigogo alitaka niache muziki anioe Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top