• Latest News

  July 08, 2016

  TECNO CAMON C9 YAINGIA SOKONI KWA KISHINDO


  Simu kali ya TecnoCamon C9 yenyeuwezowahaliyajuukatikakupigapichaikiwana Camera mbili (Mbelenanyuma) za Megapixel 13, uwezowa 4G LTE nateknolojiambalimbalizakisasaimeingiarasmisokoni. Simuhiinimiongonikwasimuzakisasakuingizwanchini, nainapatikanakwabeiyakawaidaya Tsh.400,000 Watejawamefurikakwawingidukaniilikujipatiasimuhiimpyaambayoinasifakedekedeiwenikwa wale wanaopendaselfie au wale wenyeuhitajiwasimuyenyeuwezowakufanya mambo mengikwawakatimmoja. KwenyePicha: WatejawakipataufafanuzikuhusuCamon C9 katikaduka la Tecnokablayakujipatia C9   WatejawalipatabahatiyakushindazawadimbalimbalikufuatiadrooiliyochezeshakatikaofisizaTecno.Watejawengiwaliwezakujishindiazawadizikiwemo Microwave, feni, subwoofer hukuzawadikubwakabisaikiwani TV yanchi 43.   SIFA ZA CAMON C9 
   BaadhiyasifazaCamonC9 inayouzwakatikamadukaya Tecno ikiwakatikarangi 3 tofautinihizi; Camera yahaliyajuu Kama mpenziwapichaCamon C9 imekupa Camera unaihitajikwaniinawezakutambuasuranakupiga selfie kali hataukiwagizani.Pia Camera yakeinaurembowakweli (make-up) ambayoitafanyapichazakokuwanamvutowaasili. PiaTecno Camon C9 itaondoa issue za selfie kutokuwakatikwakutumiacamera iliyokatikatiyasimuambayoinaitwa ‘The Perfect Selfie camera’. SimuhiyoyaCamon C9 inakujanakifurushi cha 10GB kutoka Vodacom Tanzania ambaohivikaribuniwameboreshamtandaowa 3G nchinzimanakuzindua 4G kwamaeneoya Dar es Salaam. 

  KwenyePicha: Mmojawawatejawa kwanza kununua Tecno CamonC9 akikabidhiwazawadiya Subwoofer baadayadrookuchezeshwa. 

   Watuwengindaniya selfie moja TecnoCamon C9 inauwezowakujazawatuwengikwenye selfie mojakulikosimuyoyoteduniani. Camera ya C9 inachukua angle kubwazaidihivyokukuwezeshakupataselfie nzurihivyokuchukuawatuwengizaidi. Simuhiiinapatikanakatika Exclusive Showroom yetuiliyokaribuyako • Mbeya - Boaz Mwakyama • Mwanza - Nyerere Road Round About PambaMwanza • Arusha - Block H , Area F - Makongoro Street • Dar Es Salaam - City Mall, iliyopokonayaBibiTiti, Morogoro Road.. Unawezakutembeleakurasazamitandaoyakijamiiya Tecno kujuazaidi. • Facebook:https://www.facebook.com/TECNOMobileTanzania • Instagram:https://www.instagram.com/tecnomobiletanzania • Twitter: https://twitter.com/TECNOMobileTZ
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: TECNO CAMON C9 YAINGIA SOKONI KWA KISHINDO Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top