Header Ads

UFARANSA WAKIINGIA FAINALI, RONALDO ANAUMIA, ILIKUWA 1998 SASA 2016, ITAWASAIDIA TENA KUBEBA KOMBE?


Katika fainali ya Kombe la Dunia 1998, tegemeo la Brazil, Ronaldo di Lima aliugua kifafa, akashindwa kucheza na Brazil ikafungwa mabao 3-1 kwenye Uwanja dimba la Stade de France jijini Paris.

Leo katika dimba hilohilo, Cristiano Ronaldo ameumia baada ya kugongwa goti na Dimitr Payet. Ameshindwa kucheza na kutolewa nje katika fainali ya Kombe la Euro. Je, Ufaransa watashinda tena kwa kupata bahati nzuri inayosaidia kuwapunguza kasi wapinzani?

No comments