• Latest News

  July 12, 2016

  UMTITI ATUA BARCELONA TAYARI KUIMARISHA SAFU YA ULINZI


  Barcelona imemsajili beki wa Lyon ya Ufaransa Samuel Umtiti.

  Umtiti aling’ara akiwa na kikosi cha Ufaransa ambacho kiliingia fainali ya michuano ya Euro.

  Umtiti mwenye miaka 22, ametua Barcelona kwa kitita cha pauni million 21.
  Inaonekana ni sehemu ya kuwekeza uimarishaji wa safe ya ulinzi ikisingatiwa Dani Alves ambaye ameondoka.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: UMTITI ATUA BARCELONA TAYARI KUIMARISHA SAFU YA ULINZI Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top