• Latest News

  July 11, 2016

  VIDEO: MASANJA MKANDAMIZAJI AMVALISHA PETE MCHUMBA WAKE

  Seebait.com 2016SeeBait
  Miongoni mwa vitu vinavyozungumzwa kwenye mitandao ya kijamii ni pamoja na picha zinazomuonyesha Masanja Mkandamizaji akimvisha pete msichana anaedaiwa kuwa mchumba wake,kwenye picha hizo Masanja na mchumba wake huyo wanaonekana wakiwa kanisani na baadhi ya waumini akiwemo Mc Pilipili na Emanuel Mbasha.

  Hapo chini kuna video ambazo zimewekwa na Mc Pilipili zikionyesha mazingira halisi ya namna shughuli hiyo ilivyokuwa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: VIDEO: MASANJA MKANDAMIZAJI AMVALISHA PETE MCHUMBA WAKE Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top