• Latest News

  July 22, 2016

  Wolper: Picha ya utupu haikumshtua baby wangu


  Juzikati ilisambaa picha ya kutengenezwa inayomuonesha msanii wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper akifanya uchafu na mwanamke mwenzake jambo lilotafsiriwa kuwa huenda likatibua uhusiano wake na ‘baby’ wake Rajab Abdulhan ‘Harmonize’.
  Akiizungumzia picha hiyo, Wolper alisema alishangaa kuiona lakini haijampa presha na hata mpenzi wake hakumaindi kwa kuwa walijua imetengenezwa na watu wasiowatakia mema.
  “Ile picha iko wazi kwamba imetengenezwa, walioisambaza walikuwa na lengo la kunidhalilisha na kuniharibia kwenye penzi langu bila kujua kwamba mpenzi wangu ni muelewa,” alisema Wolper.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Wolper: Picha ya utupu haikumshtua baby wangu Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top