Header Ads

ZLATAN ALIVYOJUMUIKA NA WENZAKE MAN UNITED


Mshambuliaji nota, Zlatan Ibrahimovich âmepata nafasi ya kuanza rasmi mazoezi na wenzake wa Manchester United.


Zlatan raia wa Sweden amejifua na wenzake kwa mara ya kwanza tokea amejiunga na Man United akiwa mchezaji huru baada ya mkataba wake kwisha PSG ya Ufaransa.


No comments