Header Ads

BARCELONA YAMALIZANA NA KIPA AJAX, YAMWAGA PAUNI MILIONI 12 AZIPE NAFASI YA BRAVO


Barcelona imekamilisha usajili wa kipa Jasper Cillessen kutoka Ajax ya Uholanzi.

Kipa huyo anatua Barcelona kuchukua nafasi ya Claudio Bravo ambaye anajiunga na Man City.Barcelona imemwaga pauni million 12 kumpata kipa huyo kinda ambaye anaelezwa kuna na kipaji hasa.


No comments