Header Ads

Blac Chyna Kama Kim Kardashian, Aanika Utupu na Mimba Yake

blc chyna
HII imekuwa kama mtindo wa kuuza sura mitandaoni na majarida kwa mastaa wa kike ulimwenguni, hii ni baada ya yule wifi wa familia ya Kardashian, Blac Chyna anayetegemea kupata mtoto wake na mpenzi wake na Rob Kardashian, akiwa amepozi utupu.
blc chyna1Unaweza kusema Blac Chyna amekopi na kupesti kutoka kwa wifi yake, Kim Kardashian amabye naye aliwahi kupiga picha za utupu wakati akiwa na ujauzito na kuziachia mitandaoni na kwenye majarida maarufu.
blc chyna2Chyna ambaye ni mama mtoto wa rapper Tyga, ametajwa na jarida maarufu la Paper kuwa miongoni mwa wanawake 1000 warembo ziidi duniani (Beautiful People Class of 2016.)
blc chyna3blc chyna4kimPAY-Kim-Kardashian-in-St-Barts


No comments