• Latest News

  August 26, 2016

  Breaking News: Mbunge Godbless Lema akamatwa na polisi  Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa Askari Polisi walivamia nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mh Godbless Lema alfajiri ya leo na kumkamata.
  Hivi sasa yupo central police ya Arusha.

  Sababu za kukamatwa kwake haijajulikana bado....

  Tutawajuza kila kitakachokuwa kinajiri


  SOURCE: JAMII FORUMS
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Breaking News: Mbunge Godbless Lema akamatwa na polisi Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top