Header Ads

CLOUDS MEDIA IMEFANYA RASMI USAJIRI WA WASANII WATAKAO TUMBUIZA TAMASHA LA FIESTA.IMOOOOOOO


Kampuni ya clouds media jana imesajiri rasmi wasanii mbalimbali wa bongo flava na hip hop kwa ajiri ya kutumbuiza katika takribani mikoa 15 ya Tanzania bara tamasha hilo litakapopita.nimekusogezea hapa video ya jinsi zoezi hilo lilivyofanyika na maoni ya baadhi ya wasanii.

No comments