Header Ads

Dogo Janja - Kidebe (Official Video)


Msanii kutoka Tip Top Conection Dogo Janja ameachia video yake mpya ya ‘Kidebe‘ Mdundo ambao umefanywa chini ya Producer Maco chali, video imeongozwa na Hanscana.

No comments