• Latest News

  August 14, 2016

  GARRY LINEKER ATANGAZA KIPINDI AKIWA NA NGUO YA NDANI KUTIMIZA AHADI YAKE YA LEICESTER


  Nyota wa zamani wa Gary Lineker jana ameendesha kipindi akiwa amevaa nguo ya ndani.

  Nyota huyo alifanya hivyo kutimiza ahadi yake ya kufanya hivyo kwa kuwa aliahidi angeweza kufanya hivyo kama Leicester City ingetwaa ubingwa wa Ligi Kuu England.

  Lineker alifanya hivyo huku watangazaji wenzake ambao ni magwiji wa zamani pia, Ian Wright na Alan Shearer wakicheka lie mbaya.

  Lineker alikuwa haamini kama Leicester ingebeba ubingwa wa England. Mwisho ikachukua ubingwa naye ndiyo hivyo, ametimiza ahadi tena nguo yake ya ndani ikiwa na nembo ya Leicester.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: GARRY LINEKER ATANGAZA KIPINDI AKIWA NA NGUO YA NDANI KUTIMIZA AHADI YAKE YA LEICESTER Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top