• Latest News

  August 30, 2016

  HATIMAYE BALOTELLI AWAAGA MASELA WAKE, YAONYESHA WAZI YEYE NA LIVERPOOL SASA BASI


  Unaweza kusema kuwa sasa amekubali, kwani Mario Balotelli ameangana na masela wake baada ya kufanya mtoko maalumu jijini Manchester, usiku wa jana.

  Inaonekana wazi, alikuwa akiwaaga rafiki zake hao kuwa hawezi kubaki Liverpool kwa kuwa Kocha Jurgen Klopp ameonyesha wazi hamhitaji.

  Sasa kumekuwa na taarifa kwamba anakwenda kujiunga na Nice ya Ufaransa.

  Balotelli alionekana ni mwenye furaha akiwaaga washikaji zake ambao baada ya kupata msosi kwenye mhagawa wa Kiitaliano, walianza kupiga picha pamoja, kama sehemu ya kuangana.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: HATIMAYE BALOTELLI AWAAGA MASELA WAKE, YAONYESHA WAZI YEYE NA LIVERPOOL SASA BASI Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top