Header Ads

Huu ndio ujumbe wa Raymond kwa mabosi wake na Madee

Baada ya kukabidhiwa zawadi ya gari, Raymond amedai alikata tamaa kwenye muziki baada ya kuhangaika kwa muda mrefu lakini sasa anajiona ni mwenye thamani kubwa.
14052223_293260374366992_1495755330_n
Muimbaji huyo wa WCB amewashukuru mabosi wake wa lebo hiyo Mkubwa Fella na Madee kwa mchango wao mkubwa na support wanaoendelea kuitoa kwenye muziki wake. Kupitia instagram, Raymond aliandika:
Kweli Nimeamini Mungu Hana upendeleo.nilikua mtu nilie jikatia tamaa ndani ya miaka takribani mi nne nilikua nikiangaika na muziki wangu nakushukuru sana sana kaka Lao @diamondplatnumz Umenifundisha vitu vingi saaaaaanaaa hadi leo naiona njia boss wangu @babutale Ni mwaka wa tano sasa toka Umenijua umenivumilia kwa mengi hadi leo hii haujanichoka na unanisaidia kwa moyo mmoja.boss @sallam_sk Asante sana kwakupigania kila siku thamani ya muziki wangu nakuakikisha nafika sehemu nzuri @mkubwafellatmk wewe ni zaidi ya mzazi maana umenilea nakunifundisha meeengi kwenye muziki @madeeali Sitoacha kukushukuru kaka lao wewe nikioo naamini unafurahi kuniona mdogo wako hapa nilipo maana unanijua saaaaanaaaa…ASANTENI SANA SANA SANA SANA MUNGU PEKEE NDIE ATAKAE WALIPA KWA WEMA HUU PESA PEKEE HAITOSHI #Godisgoodallthetime #Regran

No comments