• Latest News

  August 25, 2016

  Irene Uwoya amsaka Ndikumana ili watafute mtoto wa pili

   
  MSANII asiyechuja muonekano, Irene Uwoya amefunguka kwamba, kwa kuwa hapendi kuchanganya baba wa watoto wake, sasa ni wakati muafaka wa kumtafuta mumewe, Hamad Ndikumana ili watafute mtoto wa pili. Uwoya alimwambia mwandishi wetu
  hivi karibuni kuwa, mwanaye Krish ameshakuwa mkubwa hivyo anahitaji mdogo wake ndiyo maana anatafuta njia ya kukutana na Ndikumana ili hilo litimie. “Krish ameshakuwa mkubwa na si unajua mimi sitaki kuchanganya baba kwa watoto wangu hivyo hapa najipanga kumsaka Ndiku tuongeze mtoto wa pili biashara ya kuzaa ikomee hapo,” alisema Uwoya.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Irene Uwoya amsaka Ndikumana ili watafute mtoto wa pili Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top