• Latest News

  August 26, 2016

  Jenerali Ulimwengu Apata Ajali ya Gari, Akimbizwa Moi

  Taarifa iliyotufikia inaeleza kuwa, Mwandishi Mkongwe nchini na Mwenyekiti wa Bodi ya Gazeti la Raia Mwema, Jenerali Ulimwengu amepata ajali mapema asubuhi ya leo, na kupelekwa hospitali ya Taifa ya Muhimbili kitengo cha mifupa Moi kwa matibabu. Ajali hiyo imehusisha gari alilokuwa akiendesha yeye aina ya Benz na gari nyingine iliyoigonga gari hiyo upande wa Ubavuni.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Jenerali Ulimwengu Apata Ajali ya Gari, Akimbizwa Moi Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top