• Latest News

  August 25, 2016

  Johari: Nimepoteza matumaini ya kuolewa

  STAA MUIGIZAJI wa muda mrefu kwenye tasnia ya filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amefunguka kuwa wazo la kuolewa tena kwenye akili yake halipo badala yake anaangalia mambo mengine kwenye maisha yake. 
   
  Akizungumza Johari, alisema kuwa siku zote ngojangoja huumiza matumbo sasa ameshakata tamaa ya kumpata mwanaume wa kumuita mume hivyo anajipanga kurudi shule.

   “Kiukweli mawazo ya kuolewa tena sina, nimeshajikatia zangu tamaa, bora niangalie ustaarabu mwingine ikiwemo kurudi shule,” alisema Johari.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Johari: Nimepoteza matumaini ya kuolewa Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top