• Latest News

  August 25, 2016

  JUMLA WAMENUNULIWA KWA PAUNI MILIONI 200, LAKINI KILA MMOJA ANA HOFU YA KUUZWA!  Katika soka, hata kama utanunuliwa kwa bei ghali, mwisho kocha ndiye anakuwa na uamuzi wa nini cha kufanya.

  Kama ambavyo inaonekana hapa hawa wafuatao, wana hofu ya kuuzwa licha ya bei kubwa waliyonunuliwa. Huenda wakawa hawataki, lakini makocha ndiyo wanakuwa waamuzi wa mwisho.

  BEI WALIZONUNULIWA:
  Joe Hart - Manchester City - alisainiwa kwa£100,000

  Eliaquim Mangala - Manchester City -alisainiwa kwar £31.8million

  Mamadou Sakho - Liverpool - alisainiwa kwa £18million

  Lamine Kone - Sunderland - alisainiwa kwa £6million

  Juan Cuadrado - Chelsea - alisainiwa kwa £27million

  Yaya Toure - Manchester City - alisainiwa kwa £24million

  Bastian Schweinsteiger - Manchester United - alisainiwa kwa£14million

  Samir Nasri - Manchester City - alisainiwa kwa £25million

  Mario Balotelli - Liverpool - alisainiwa kwa £16million

  Wilfried Bony - Manchester City - alisainiwa kwa £28million

  Loic Remy - Chelsea - alisainiwa kwa £10.5million
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: JUMLA WAMENUNULIWA KWA PAUNI MILIONI 200, LAKINI KILA MMOJA ANA HOFU YA KUUZWA! Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top