Header Ads

KAULI YA BOLASIE BAADA YA BAADHI YA MASHABIKI PALACE KUSEMA FEDHA NDIYO ZIMEMKIMBIZA


Yannick Bolasie aria wa DR Cingo jirani ya Tanzania ameiacha Crystal Palace na kutua Everton maarufu kama Toffee.

Amesaini mkataba wa miaka mitano wenye thamani ya pauni million 30 ili ahamishie makali yake ndani ya  Goodison Park.


Pamoja na kuonekana naye ‘amepiga’ fedha, lakini BIlasie amesisitiza kwamba amekwenda kwa kuwa anataka mafanikio na si suala la fedha.


No comments