Header Ads

Kesho Jumapili Ngao Ya Jamii...Leicester vs Man Utd, saa 12 Jioni, Wembley

Mabingwa wa England Leicester City, wanakutana na mabingwa wa FA, Manchester United chini ya Jose Mourinho. Ni ngoma hasa na kwa Mtanzania wala hupaswi kusumbuka,  DSTV kupitia SuperSport, kwa raha zako utaupata mzigo ‘laivuuuuu’.

No comments