• Latest News

  August 24, 2016

  KIKOSI CHA TAIFA STARS KILICHOITWA NA MKWASA KUWAVAA NIGERIA HIKI HAPA

  Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa ametangaza kikosi cha wachezaji kikiwa na mabadiliko kadhaa ambacho atakiandaa maalumu kwa mchezo hidi ya Nigeria.

  Kikosi hicho kina wachezaji 20 ambao atasafiri nao kwenda Nigeria kwa ajili ya mchezo huo wa Septemba 3, 2016 lakini wachezaji wanatakiwa kuripoti kambini Agosti 28, mwaka huu na safari ya kwenda nchini Nigeria itakuwa Septemba mosi.

     

  KIKOSI HICHO HIKI HAPA:
  Deogratius Munish ‘Dida’
  Aishi Manula
  Mwinyi Haji
  Andrew Vincent ‘Dante’
  Juma Mahadhi
  Kelvini Yondani
  David Mwantika
  Himid Mao
  John Bocco
  Farid Mussa
  Jamal Mnyate
  Ibrahim Ajib
  Shiza Kichuya
  Mzamiru Yassin
  Mohammed Hussein ‘Zimbwe Jr’
  Jonas Mkude
  Mbwana Samatta
   Ibrahim Rajabu
  Shomari Kapombe
  Simon Msuva
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: KIKOSI CHA TAIFA STARS KILICHOITWA NA MKWASA KUWAVAA NIGERIA HIKI HAPA Rating: 5 Reviewed By: Nico Trac
  Scroll to Top