• Latest News

  August 23, 2016

  KIKOSI CHA YANGA VS TP MAZEMBE, LEO HIKI HAPA, KESSY NDANI

  Yanga inatarajiwa kuwa mgeni wa TP Mazembe, leo jijini Lubumbashi katika mchezo wa kukamilisha ratiba wa Kundi A katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, saa tisa na nusu alasiri.  Yanga itaingia uwanjani ikiwa na beki wake, Hassan Kessy ambaye itakuwa ni mechi yake ya kwanza kucheza akiwa na timu hiyo katika michuano ya kimataifa lakini itakuwa kama kukamilisha ratiba tu kwa kuwa haina nafasi ya kusonga mbele.  KIKOSI KINACHOANZA HIKI HAPA
  Deo Munishi
  Hassan Kessy
  Mwinyi Haji
  Andrew Vincent
  Mbuyu Twite
  Juma Makapu
  Simon Msuva
  Thabani Kamusoko
  Amissi Tambwe
  Deus Kaseke
  Haruna Niyonzima

  WALIOPO BENCHI
  Beno Kakolanya
  Oscar Joshua
  Pato Ngonyani
  Juma Mahadhi
  Mateo Anthony
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: KIKOSI CHA YANGA VS TP MAZEMBE, LEO HIKI HAPA, KESSY NDANI Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top