Header Ads

Kisa kunaswa bila kufuli… Jike Shupa afukuzwa na bwana’ke

UNAIKUMBUKA ile stori ya Video Queen Zena Abdallah ‘Jike Shupa’ kunaswa akiwa hajavaa kufuli? Basi unaambiwa baada ya ile habari kutoka gazetini mwanadada huyo ametimuliwa na bwana wake aliyekuwa akiishi naye Kariakoo jijini Dar. 


Kwa mujibu wa chanzo chetu makini kilicho karibu na msanii huyo, mara baada ya habari ile kutoka kisha picha kuenea kwenye mitandao, bwana’ke alimaindi na kufikia hatua ya kumwambia achukue ‘time’ zake. 


“Yaani mmemtafutia msala mwezenu, bwana wake si kamtimua!” kilidai chanzo hicho. Baada ya kupata ubuyu huo, gazeti hili lilimtafuta Jike Shupa ambapo alikiri kurudi kuishi Kinondoni alikokuwa akiishi mwanzo, lakini hakutaka kuanika kisa.

No comments