• Latest News

  August 28, 2016

  Magufuli: Ni Muujiza Kushikana Mkono na Lowassa  Rais Magufuli amesema anashukuru hafla ya Jubilei ya Miaka 50 ya ndoa ya Rais mstaafu Benjamin Mkapa kuleta muujiza wa kukutana na kupeana mkono na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa

  Kauli hiyo aliitoa jana katika hotuba yake Baada ya kumalizika kwa misa takatifu ya maadhimisho ya Juibilei hiyo iliyofanyika katika kanisa la mtakatifu Petro  Oysterbay, Dar es Salaam
  ==>Msikilize hapo chini akiongea
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Magufuli: Ni Muujiza Kushikana Mkono na Lowassa Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top