• Latest News

  August 11, 2016

  MAMA POGBA ANUNUA JEZI KIBAO ZA MWANAYE, NI ZAWADI KWA WATU MBALIMBALI
  MAMA MZAZI WA POGBA AMENUNUA RUNDO LA JEZI ZA MWANAYE MARA TU BAADA YA KUANZA KUINGIA MTAANI IKIWA NI SAA CHACHE BAADA YA KUJIUNGA NA MAN UNITED AKITOKEA JUVENTUS.

  IMEELEZWA MAMA HUYO ANAJIANDAA KUTOA ZAWADI KWA WATU MBALIMBALI AMBAO NI WATU WAKE WA KARIBU. POGBA RAIA WA UFARANSA AMEJIUNGA NA MAN UNITED KWA KITITA CHA PAUNI MILIONI 100.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAMA POGBA ANUNUA JEZI KIBAO ZA MWANAYE, NI ZAWADI KWA WATU MBALIMBALI Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top