Header Ads

MANJI AITISHA MKUTANO WA DHARULA YANGA BAADA YA DEWJI KUKUBALIWA KUINUNUA SIMBA


Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
MWENYEKITI wa Yanga SC, Yussuf Manji ameitisha Mkutano wa dharula wa wanachama utakaofanyika Diamond Jubilee siku ya Jumamosi 6/8/2016

Wakati huo Jumamosi  Yanga SC itakuwa na mchezo wa kirafiki Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam dhidi ya Mtibwa Sugar ya Morogoro, yakiwa ni maandaliai ya mchezo wao wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika wiki ijayo dhidi ya MO Bejaia ya Algeria.

No comments