• Latest News

  August 26, 2016

  MSHINDI WA CAMON C9 AELEZEA KILICHOMVUTIA KUSHIRIKI SHINDANO


  Mshindi wa pili wa shindano la Tecno Camon C9, Michael Nyantori amekabidhiwa zawadi yake baada ya kufanikiwa kufanya vyema katika shindalo hilo lililokwenda kwa jina la “C9 challenge”. Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa simu yake Michael anasema kwamba moja ya vitu vilivyomvutia ni Camera ya simu. Msikilize zaidi hapa chini.
  Simu ya Tecno Camon C9 ilizinduliwa hivi karibuni jijini Dar es Salaam na kwa sasa inakimbiza kwa idadi ya mauzo katika maduka mbalimbali nchini. Camon C9 ina uwezo wa hali ya juu katika kupiga picha, uwezo wa 4G LTE na teknolojia mbali mbali za kisasa ikiwemo uwezo wa kujaza watu wengi takribani 50 katika selfie na “make up” halisi ambayo itazipa picha zako muonekano wa tofauti wa kuvutia.

  Michael akiwa na uso wenye tabasamu baada ya kukabidhiwa simu yake.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MSHINDI WA CAMON C9 AELEZEA KILICHOMVUTIA KUSHIRIKI SHINDANO Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top