• Latest News

  August 10, 2016

  MSIKILIZE TUNDU LISSU HAPA ALICHOKISEMA JANA

  Jana mchana, Jumanee Agosti 9, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimefnya mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam ili kutoa taarifa kwa umma kuhusu taarifa za vitisho wanazokuwa wakizipata kutoka serikalini.
  Mwanasheria Mkuu wa wa chama hicho ambaye pia ni  Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Mhe.  Tundu Antipas Lissu amesema hakuna mtu kutoka Chadema anayetaka kumjaribu mtukufu Rais na wala hakuna anayetaka kukamatwa na polisi  kwa sababu mahabusu sio pazuri.
  “Tunachotaka kukifanya ni ambacho kipo katika katiba, mikutano na maandamano ya kisiasa kwakuwa ni halali. Kama kufanya hivyo Rais Magufuli anafikiri tunamjaribu hayo ni mawazo yake” Amesema Tundu Lissu.
  MSIKILIZE TUNDU LISSU HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MSIKILIZE TUNDU LISSU HAPA ALICHOKISEMA JANA Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top