Header Ads

MWONEKANO WA JEZI ZA MABINGWA WATETEZI YANGA BAADA YA KUKABIDHIWA NA VODACOM, LEO


Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga nao wamekabidhiwa jezi zao kwa ajili ya msimu ujao kama unavyoona vijana wakiwa wamezivaa, zitakuwa kwa ajili ya msimu wa 2016-17. Hii ilikuwa katika hafla za makabidhiano ya jezi mpya za msimu ujao zilizofanywa na wadhamini wa Ligi Kuu Bara, kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom.

No comments