Header Ads

Nisha ajisafishia njia kurejea studio kuimba!

Staa wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ sasa anajisafishia njia kwa mashabiki wa muziki na maprodyuza ili kurejea studio kuimba rasmi.
 
Akipiga stori , Nisha alifunguka kuwa kipaji cha kuimba anacho na mashabiki wake ambao wamekuwa wakimsikia akiimba bila kujitangaza wamekuwa wakimsihi kurejea pande hizo kwa sababu awali alibipu kisha akaingia mitini.

 “Nimeanza kwa kuandaa matamasha ya muziki na kuwasimamia baadhi ya wanamuziki, nakubaliana na mashabiki wangu na soon nitarejea studio,” alisema Nisha

No comments