Header Ads

POGBA ALIONDOKA KAMA MCHEZAJI WA KAWAIDA, AMEREJEA MAN UNITED KAMA MFALME


Paul Pogba, aliondoka Manchester United kama mchezaji wa kawaida kabisa, lakini malengo na juhudi zisizoisha, leo zinamfanya arejee Old Trafford kama mfalme, maana ni gumzo, ananunuliwa kwa pauni milioni 110 na kama haitoshi anasubiriwa kwa hamu ile mbaya. MAISHAAA. 
No comments