• Latest News

  August 05, 2016

  Rasmi Simba imeingia mikataba na mastaa watano wa kimataifa akiwemo Mavugo

  Klabu ya wekundu wa Msimbazi Simba ambayo mwaka huu inajiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu soka Tanzania bara sambamba na sherehe za miaka 80 ya klabu hiyo, ambayo itaadhimishwa siku ya Simba Day August 8 2016, leo August 5 2016 imetangaza kuingia mikataba na mastaa watano wa kimataifa.
  RZ8A8960
  Laudit Mavugo akisaini mkataba na Rais wa Simba Evans Aveva kushoto
  Simba ambao wameingia mikataba na mastaa hao akiwemo mshambuliaji wa kimataifa wa Burundi waliyemuwinda kwa zaidi ya misimu miwili Laudit Mavugo, wamefanikiwa kuwasajili pia Fredric Blagnon kutokea Ivory Coast, Musa NdushaJanvier Bokungu na Method Mwanjale.
  RZ8A8951
  Janvier Bokungu na Rais wa Simba Evans Aveva
  Mastaa wote wa kimataifa waliosajiliwa na Simba watatambulishwa rasmi siku ya Simba Day August 8 2016 uwanja wa Taifa Dar es Salaam, huku mgeni rasmi akitarajiwa kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.
  RZ8A8939
  Janvier Bokungu
  RZ8A8989 (1)
  Fredric Blagnon
  RZ8A8999 (1)
  Fredric Blagnon
  RZ8A8893 (1)
  Method Mwanjale
  RZ8A8933
  Musa Ndusha
  RZ8A8924
  Musa Ndusha na Rais wa Simba Evans Aveva
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Rasmi Simba imeingia mikataba na mastaa watano wa kimataifa akiwemo Mavugo Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top