• Latest News

  August 26, 2016

  RATIBA YA HATUA YA MAKUNDI YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE

  Ratiba kamaili ya hatua ya makundi ya Uefa champions League imetoka. Timu za Uingereza zinaonekana kuwa na ahueni kwenye hatua hii kutokana na kutokuwa kwenye makundi ya vifo huku Leicester wakiwa kwenye kundi ambalo unaweza kuliita nyanya zaidi.

  Kwa ratiba hii unatakiwa kuwa na matarajio ya kushuhudia moja ya hatua 16 bora nzuri na yenye ushindani zaidi kwa uwezekano wa vilabu vikubwa kubaki kwenye hatua ya makundi ni mdogo sana.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: RATIBA YA HATUA YA MAKUNDI YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top