Header Ads

RAYMOND WA WCB KAPEWA GARI NA UONGOZI WAKE

Ni August 22, 2016 ambapo label ya WCB inayosimamiwa na Diamond Platnumz wamemfanyia surprise Raymond kwenye birthday party yake kwa kumzawadia gari aina ya Toyota Rav 4 yenye thamani ya Tsh.Milioni 20.
Hizi ni baadhi ya picha za muonekano wa gari hilo jipya
PICHA na www.millardayo.com
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

No comments