• Latest News

  August 29, 2016

  Serikali imetangaza kuvifungia vituo viwili vya radio, Magic Fm ya Dar na Radio 5 ya Arusha

  Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Nape Nnauye ametangaza kuvifungia vituo viwili vya radio kwa muda usiojulikana ambavyo ni Magic Fm ya Dar es salaam na Radio 5 ya Arusha kwa makosa ya kutangaza na kutoa habari za kichochezi.
  Lakini pia Waziri Nape amesema huku adhabu hiyo ikianza leo August 29 2016 pia ameiagiza kamati yake kuviita vyombo hivyo kwa ajili ya kuzungumza navyo kisha maamuzi mengine ya kisheria yatachukuliwa.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Serikali imetangaza kuvifungia vituo viwili vya radio, Magic Fm ya Dar na Radio 5 ya Arusha Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top