Header Ads

Shamsa: Kama siyo mwanangu, nisingependa

 
STAA wa fi lamu za Kibongo, Shamsa Ford ameanika wazi kuwa kama siyo mtoto wake aitwaye Therry, kamwe asingeweza kumpenda mpenzi wake wa sasa, Chid Mapenzi. Akiteta na Za Motomoto News, Shamsa alisema alimpenda mpenziwe huyo kutokana na kwamba anampenda sana mtoto wake, hivyo kuwa ndicho kigezo kikubwa cha kumkubali na kuwa naye kwani asingekuwa anampenda mwanaye asingempa nafasi kabisa. “Nampenda mwanangu kuliko kitu chochote duniani na nikigundua rafi ki yangu hampendi, urafi ki unaisha, hivyo Chid alinivutia mpaka nikaamua kuwa naye kwa sababu anampenda mwanangu, jambo ambalo linanisababisha niendelee kumpenda zaidi,” alisema.

No comments