• Latest News

  August 26, 2016

  UEFA YAFANYA MABADILIKO CHAMPIONS LEAGUE

  uefa
  Shirikisho la soka la Ulaya UEFA limetangaza mabadiliko katika michuano ya UEFA Champions League kuanzia msimu ujao 2017-18.
  uefa
  Kuanzia msimu ujao, timu 4 za juu kutoka katika ligi 4 bora barani Ulaya (La Liga, Premier League, Budesilga na Serie A) zitakuwa zinafuzu moja kwa moja kuingia hatua ya makundi bila kupitia hatua ya mtoano.
  Awali timu zilizoshika nafasi ya nne katika msimamo wa ligi hizo zilikuwa zinacheza mchezo wa mtoano (play off) na mshindi ndiyo anafuzu hatua ya makundi kama ilivyofanyika pia katika msimu huu.
  IMG_201608239_013229IMG_201608239_013229
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: UEFA YAFANYA MABADILIKO CHAMPIONS LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top