Header Ads

Video Bar maarufu Carebean iliyopo Sinza White Inn yateketea kwa moto jana

August 10 2016 majira ya jioni kumetokea ajali ya moto ambayo imesababisha kuteketea kwa jengo la Bar maarufu Carebean iliyopo Sinza White Inn, chanzo cha moto huo inasadikika ni itilafu ya umeme.
Kikosi cha zimamoto kimefika kwa ajili ya kuzima moto huo na mpaka millardayo.com inaondoka eneo la tukio hakuna mali iliyookolewa kutoka kwenye kwenye bar hiyo na hakuna aliyejeruhiwa kutokana na ajali hiyo ya moto.

No comments