• Latest News

  August 02, 2016

  Video: Mpenzi mpya wa Shamsa Ford alivyojitambulisha kwenye Birthday Party

  Usiku wa July 31, 2016 Msanii kutoka kiwanda cha bongo movie Shamsa Ford alifanya Birthday Party yake kwenye ukumbi wa Bilicanas Dar es salaam, Birthday Party hiyo iliyohudhuriwa na mashabiki na kumtambulisha mpenzi wake mpya kwenye tukio la kulishana keki, Mtu wangu usisahau kuniachia comment yako hapa mkali huyu ataziona.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Video: Mpenzi mpya wa Shamsa Ford alivyojitambulisha kwenye Birthday Party Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top