Header Ads

WILLIAMS ATUA EVERTON KUZIBA PENGO LA JOHN STONE


Beki ngangari Ashley Williams aria wa Wales ametua Everton.

Everton imemsajili beki huyo na kukubali kumwaga pauni million 12 kuziba pengo la John Stone ambaye imemuuza Man City.

Williams ambaye ni nahodha wa Wales, alikuwa tegemeo katika safe ya ulinzi ya Swansea.


No comments