• Latest News

  August 16, 2016

  Wizkid kutumbuiza kwenye Fiesta ya Mwanza Jumamosi hii

  Staa wa Nigeria, Wizkid, amethibitishwa kuwa atatumbuiza kwenye show ya Fiesta, Mwanza mwishoni mwa wiki hii.
  13696965_1248290765189225_969618485_n
  Clouds FM wamethibitisha kumdondosha hitmaker huyo wa ‘Shabba’ Jumamosi, August 20.
  “Kituuuuuuu #DealDone kwa mara ya kwanza ndani ya Mwanza #StarBoY wako @wizkidayo utatapata kumshuhudia LIVE juu ya jukwaa la #Fiesta2016 #Imooooo,” wameandika Clouds.
  Hii itakuwa mara ya pili muimbaji huyo anakuja Tanzania. Mwezi October mwaka jana alitumbuiza kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Wizkid kutumbuiza kwenye Fiesta ya Mwanza Jumamosi hii Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top