• Latest News

  August 13, 2016

  Zari ajipiga picha kuonyesha Ujauzito wake na Diamond

  Diamond atafuta jina la mtoto wake wa kiume baada ya mapema mwezi huu mkali huyo kuthibitisha ujio wa mtoto wake wa pili kutoka kwa mpenzi wake Zari.
  13687381_1155219074498356_879216275_n
  Muimbaji huyo alidai kuwa mwezi Disemba mwaka huu anatarajia kupata mtoto huyo wa kiume, lakini baada ya hapo hatakuwa na mpango wa kuongeza mtoto mwingine.
  Kwa sasa Diamond ameonekana kutafakari jina la kumpatia mtoto wake huyo mtarajiwa baada ya kutumia mtandao wa Instagram kumwandikia ujumbe mpenzi wake Zari ampatie jina la mtoto wao huyo.
  Looking so sexy, my Beautiful and cute Wife @zarithebosslady😚 💞!!!… Please tell what would you like me to name my Upcoming Son?…
  (Tafadhali niambie Mtoto wangu wa kiume unadhani akija nimwite jina gani…?)
  13643712_499997453540448_11289730_n
  Na sasa mimba ya Zari inaonekana wazi baada ya kushare picha kadhaa kwenye Instagram.
  13743222_1662928737368136_1710219820_n
  13827197_262328217485794_1451552836_n
  13827414_1410155772333990_800279987_n
  Diamond na Zari tayari wana mtoto mmoja wa kike, ‘Tiffa’ ambaye hivi karibuni ametimiza mwaka mmoja.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Zari ajipiga picha kuonyesha Ujauzito wake na Diamond Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top