Header Ads

Amber Lulu Ajiwezi kwa Young D


LICHA ya kudai kuwa zamani aliwahi kutoka naye kabla ya kuachana na kubakia marafi ki wa kawaida, muuza nyago kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva, Lulu Euggen ‘Amber
Lulu’ amedhidhirisha kuwa hajiwezi kwa Msanii David Genz ‘Young D’ baada ya kujichora tattoo yenye jina lake mgongoni. Akizungumza na Za Motomoto News, Amber Lulu alisema linapokuja suala la wanaume, Young D ndiye anayemkubali zaidi kuliko
wote Bongo. “Nimemchora D maana ni mtu ninayemkubali sana, napenda kazi zake na muziki wake pia, kama nilivyosema, zamani alikuwa mpenzi wangu, lakini kwa sasa sisi ni washkaji tu,” alisema Amber Lulu

No comments