Header Ads

Clarence Mulisa Afiwa Na Mama Yake Mzazi

Mfanyakazi wa Global Publishers kitengo cha Habari na Mawasiliano (IT), Clarence Mulisa,  amefiwa na mama yake mzazi, Feliciana Mulisa,  usiku wa kuamkia leo jijini Arusha.  Mama huyo alikuwa akitibiwa mkoani Arusha.  Msiba upo Kinyamwezi, Chanika, Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam kwa kaka wa marehemu kesho ambapo kesho wanategemea kwenda Arusha na baadaye kuusafirisha mwili wa marehemu kwenda mkoani Kagera kwa ajili ya mazishi.   Mungu ailaze roho ya marehemu  mahali pema peponi.  Amina!
14333738_1219226361431743_3284034451242537981_n
Enzi za uhai wa marehemu Feliciana Mulisa.
12573883_1065551503465897_8257274700750088626_n
Mfanyakazi wa Global, Clarence Mulisa.

No comments