• Latest News

  September 01, 2016

  DAVID LUIZ HUYU HAPA, YAMETIMIA BAADA YA KUMALIZANA NA CHELSEA

  Beki David Luiz ameonyesha furaha yake baada ya kukamilisha usajili wa pauni million 32 kurejea tena Chelsea.

  Luiz aria wa Brazil aliuzwa PSG ya Ufaransa akitokea Chelsea kwa pauni million 50 na kumfanya kuwa mmoja wa mabeki ghali zaidi duniani lakini jana, rasmi amerejea jijini London.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: DAVID LUIZ HUYU HAPA, YAMETIMIA BAADA YA KUMALIZANA NA CHELSEA Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top