• Latest News

  September 26, 2016

  Diamond Na Zari Waendeleza Bata Zanzibar (Video ipo hapa)


  diamond-1Diamond.diamond-2Diamond na mpenzi wake Zari.diamond-3 diamond-4 diamond-5Kutoka kushoto Moses Iyobo, Aunt Ezekiel, Diamond na Zari.
  diamond-6diamond-7 diamond-8 diamond-9 diamond-10Mwanamuziki Diamond akiwa katika mapozi tofauti na mchumba wake Zari na baadhi ya marafiki zao.
  Mwanamuziki Nassib Abdul amedhihirisha ule usemi wa wahenga wa zamani kwamba pesa maua na ukiwa nazo unaweza kufanya jambo lolote lile chini ya jua na hakuna wa kukuzuia.
  Baada ya kumfanyia sherehe ya kuzaliwa mchumba wake Zari, aliyezaa naye mtoto mmoja na ambaye ni mjamzito kwa sasa wawili hao bado wapo visiwani Zanzibar wakiendelea kula bata hata baada ya kumalizika kwa sherehe ya siku ya kuzaliwa ya Zari iliyofanyika visiwani humo .
  Na Leonard Msigwa/GPL.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Diamond Na Zari Waendeleza Bata Zanzibar (Video ipo hapa) Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top