• Latest News

  September 28, 2016

  DORTMUND YAILAZIMISHA MADRID SARE YA BAO 2-2 LIGI YA MABINGWA ULAYA


  Mechi ya Real Madrid dhidi ya wenyeji Borussia Dortmund imeisha kwa sare ya mabao 2-2.

  Mechi hiyo ilikuwa kali baada ya wenyeji kulazimika kusawazisha mara mbili dhidi ya mabingwa hao wa Ulaya.


  Cristiano Ronaldo ndiye alianza kufunga kwa upande wa Madrid, PierreAubameyang akasawazisha dakika ya 43. 

  Kipindi cha pili Raphael Varane akaifungia Madrid tena dakika ya 68 lakini ‘jioni’ kabisa katika dakika ya 87, Andre Schuerrle akaifungia Dortmund bao la kusawazisha.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: DORTMUND YAILAZIMISHA MADRID SARE YA BAO 2-2 LIGI YA MABINGWA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top