Header Ads

FIESTA YAWAPAGAWISHA WAKAZI WA SHINYANGA

Msanii wa Bongo Fleva, Bill Nasi akifanya makamuzi na Linah Sanga kwenye Tamasha la Fiesta usiku wa kuamkia leo Shinyanga.
 Mkali wa Bongo Fleva, Ben Pol akiimba na mashabiki wimbo wa Moyo Mashine.
 Kundi la Navy Kenzo linaloundwa na wapenzi, Emmanuel Mkono 'Nahreel' na Aika Mareale 'Aika' wakifanya yao.
Baraka Da Prince akiongea na mashabiki wake.
Msanii Wa Bongo Flava Rap Na Hip Hop Darassa akitambulisha ngoma nake mpya inayoitwa Too Much kwa wakazi wa Shinyanga.
 Msanii wa Bongo Fleva Dayna Nyange akifanya yake.
 Mashabiki wakiendelea kupagawa na burudani.
Msanii wa muziki wa bongo fleva Msami akiongea jambo.
 Msanii wa Bongo Fleva, Linah Sanga akionyesha manjonjo. 
 Msanii kutoka kundi la Tip Top Connection, Madee akifanya yake.
Msanii Wa Kike Wa Hip Hop Na Bongo Flava Chemical akitoa burudani kwa wakazi wa Shinyanga.


 Wasanii wa Fiesta Imoo wakiwa katika picha ya pamoja.

 

No comments