• Latest News

  September 09, 2016

  Harmonize na Wopler, wanaishi kama familia waendelea na shopping pamoja

  Wapenzi wawili Harmonize pamoja na Jacqueline Wolper wanaendelea kuuonyesha umma jinsi wanavyopendana.
  4k0a2146x
  Wawili hao Alhamisi hii walienda shopping pamoja na kufanya manunuzi ya vitu mbalimbali katika Mall moja hapa jijini Dar es salaam.
  Hivi karibuni mwigizaji huyo alipost picha akiwa jikoni huku akiandaa chakula kwa ajili ya muimbaji huyo wa wimbo Matatizo.
  cds
  Harmonize akimkabidhi maharage Wopler
  Hali hiyo imezua tetesi katika mitandao ya kijamii kuwa huwenda wawili hao wakawa wanaishi pamoja.
  Angalia picha za mastaa hao walifanya manunuzi katika moja ya Mall hapa jijini Dar es salaam.
  4k0a2146
  a-a
  a
  ac
  vvr
  vvrdd
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Harmonize na Wopler, wanaishi kama familia waendelea na shopping pamoja Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top